Navunja ndoa ya mtu!!!!

ACHA MAMBO ZAKO WEWE!!!!!!!!!! Kazi gani MNAONGEA HADI USIKU!!!!!! Nyamaaaaff!!!!!!!! Wewe ndo mwenye tabia CHAFU ya kutumia kigezo cha kazi kuendeleza mahusiano yasiyo rasmi na mke wa mwenzio!!!!!!!! Ndio mnafanya kazi ila mida ya kaz si Asubuhi hadi Saa 11 kwa nyie wajenzi wa taifa hata saa 2usiku si mbaya!!!!!! Ila wewe usivo na soni saa 4 wampigia mke wa mtu kisa Kazi!!!!!!!!!!!

Aaaaaaaaaah! Give us a break bana!We sema ukweli tu pamoja na kazi kuna kielement cha EVIL INTENTIONS na unajisikia raha kuongea na huyo dada, basi kakitokea kasababu tu ushamuendea hewani!Mimi simu yangu ya kikazi saa 11 kamili NAIZIMAAAA hadi kesho yake! Kazi haziishagi zitaendelea kesho! Dharura zitajiju manake nikiwaendekeza maboss kama nyie utafanya kaz hadi jumapili!!!!!!!!!

Kubali kuwa ulilofanya ni unyanyasaji wa kiofisi! Hadi mtoto kuipiga ile namba manake imekaa juu juu kwa kupigwa sanaaa! Ifike Mahali mabosi muheshimu ndoa za wenzenu! Sio kisa ndo boss kila dakika wapiga piga tuuuu!!!!!!!! Haya Mchukue ufanye nae kazi vizuri basi masaa 24 piga saa hivi!

Huyo mumewe sio mpuuzi wala mjinga kufikia uamuzi huo! HUYU KUNA MIPAKA ALIVUKA SEMA HASEMI TU HUMU!!!!!!!!
 
Kaka huyu dada ndoa yake ikivunjika hatakulaumu wwmatamlaumu mumewe,coz kwa maelezo hayo,kosa lako liko wap?na dada naye angekuambia kuwa usiwe unampigia simu nyumbani kwao!

Kwa jinsi tunavyoishi na huyo dada hapa ofisini nadhani anajisikia aibu kutupa picha harisi ya mmewe, angesema kwamba mmewe ni tatizo kiasi hicho ningeweza hata kuacha kuwasiliana naye kabisa.....maana mawasiliano yetu ni business zaidi na si vinginevyo
 
Kwa gentleman makini asingekataa mimi kuonana naye face to face
Si vizuri waonane face to face peke yao, lolote laweza tokea. Maana jamaa yeye anachojuwa ni kuwa mkewe anachukiliwa, sasa mtu mwenye kujipa uhakika huo anaweza akafanya lolote mkionana peke yenu
 

Wife hi move anaijua vizuri. Inanikera sana kupoteza mda kudeal na upuuzi kama huu
 

Wife anajua vizuri hii kitu ndo amekuwa mshauri wangu mkubwa sana sana ananiambia nikae mbali na huyu jamaa ili asije kunipoteza
 
Tafuta watu wazima 2, anaweza kuwa mchungaji wako au boss wako wa kazini. Nenda kaongee na huyo Bwana uso kwa uso kwa lengo la kunusuru ndoa ya huyo DADA.

Sio wanaume wote wana busara, kumbuka hadithi ya Nabal na Abigail vs Daudi.

Well said!!
 
Endelea na kazi na waachie maisha yao kwani wewe hayakuhusu,huwezi jua jamaa anagombana na watu wangapi mtaani kuhusu mkewe hivyo haina haja ya kuumiza kichwa chako kwa ajili ya suala hili.
Kama ikitokea mfanyakazi mwenzako akakwambia msiwe mnawasiliana wakati ambao hayupo kazini basi itabidi ufanye hivyo katika kuheshimu maamuzi yake.
Hii inanikumbusha usemi usemao,UKIFANYA BIASHARA YA UTUMBO USIOGOPE NZI.
 
Nimekwisha mtumia Sms na nataka kutoa taarifa polisi, in case of anything wawe na mahala pa kuanzia.

Tena ni vizuri kumtaarifu kabisa kuwa umeona hiyo tuhuma imekuwa nzito sana na unahisi kuwa anaweza kufanya maamuzi ya hatari kwa maisha yako, kwahiyo imekubidi uende polisi.
Hii itasaidia pia kumpa ufahamu kuwa wewe uko serious na hizo allegations na inaweza kumcost iwapo utapata madhara yoyote (hata kama si yy amesababisha)

Usishangae, anaweza kuomba yeye mwenyewe kikao cha usuluhishi wa hilo jambo.
Nakwambia hivyo kwa kuwa mimi pia yalinikuta hayo hayo. Its like ku copy na kupaste hii situation iliyokukuta. Jamaa baada ya kuona polisi wamekuwa involved. alinitafuta tuyamalize ingawa mwanzoni nilitishiwa hadi maisha.
 
Hujanisaidia lara 1
 
Last edited by a moderator:
Hamna wivu wa hivyo,huyo mwanaume atakuwa anamtafutia tu sababu huyo mkewe
May be kaishapagawishwa somewhere else,so kwa hudi na uvumba jamaa ameamua tu kuforce ugomvi na
mke wake.Sifa ya mwanamme ni kuwa understanding na si kuzira zira kama immature girl
 

lara moko umekuwa harsh kidogo.
Na yeye si boss ni officemate na kasema kazi zao zinaendana.
Hii ni sawa na ile issue yako ya mme wa mtu ofisini kwako kumpanchia mda wa kuingia na mkewe kwenda kwa boss wako kukusemea..
Hapo ni jamaa ana mawivu ukizingatia ndo karudi kutoka nje ya nchi ha ha ha kahisi jamaa alijimilikisha kipindi chote hicho
 

Kweli kaka lakini pia amesahau kwamba simu ya mkewe si ya kwake, hatakiwi kuipokea mkewe akiwepo. ninaamini asingepokea yote haya yasingetokea
 

Hilo nalo neno!
 
Wife hi move anaijua vizuri. Inanikera sana kupoteza mda kudeal na upuuzi kama huu
Kudeal na issue hii haupotezi muda mkuu. Kuna faida kubwa mbili, ya kwanza utaokoa ndoa ya huyo dada na ya pili, unaweza ukawa ndo unaokoa maisha yako mkubwa. Kwani hujawahi sikia watu wanamvamia mtu nyumbani kwake na kumuuwa bila kuchukuwa chochote? Hii ni sababu mojawapo inayopelekea baadhi yetu kufanya hivyo.
 

Wivu wa hivi ni ulemavu kwakweli.
 
Mvaa Tai wewe fanya yako yakwao waachie wenyewe.
Inshort jifunze kutokana namakosa.
Na acha kabisa mawasiliano na huyo mama.
Tena mjamaa akikucall tena chimba bonge la biti asikuzoee kabisaaa.
Undava undava tu
 
Last edited by a moderator:

Inawezekana kabisa mkuu, kwasababu angekuwa hana agenda ya siri angeweka mazingira ya kupata ukweli
 

Kwa ufupi lara 1 hajanisaidia kitu kwenye hili swala
 
Last edited by a moderator:
Hilo nalo neno mkuu.
 
Kikubwa kwanza uangalie usalama wako. Wanawake walivyo pindi akigombana na mme wake. Anaweza kuropoka maneno ambayo yakamfanya mume awe na uthibitisho wa anacho kihisi. Kwa mfano, pindi akimpiga mke wake, mke kwa hasira anaweza kuropoka ndio mpenzi wangu wewe kinakuuma nini au unamuonea wivu kwa sababu anamvuto. Mke bila kujua madhara ya kauli hiyo.
Mume atakuona wewe ndiye umechafua hali ya hewa ya familia yake. Kwa hiyo atakuwa na liwalo na liwe kwako.
Kwa usalama wako, lifikishe swala hili ngazi za juu kama police au viongozi wa dini ili Mume aridhike kabisa kama wewe na mke wake amna kinachoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…