Nauza zulia bei poa kabisa

Natuma hela ndio unalituma au unalituma ndio nalipa??
Kama upo moshi nakuletea ulidhaminishe ndo ulipie kama upo mkoa mwingine unalipia nakutumia kwa basi pia garama za usafiri ni juu yako
 

Hili ukubwa futi nane kwa futi sita bei elfu 80 tu kwa maelezo zaidi nichek WhatsApp 0763772636 kamera aioneshi vizuri nimepiga usiku
 

Pazia design hiyo yapo mawili kila moja elfu 20 ni mazito marefu hadi chini nichek WhatsApp 0763772636
 
Habarini wapendwa
Nauza mazulia mazuri ya mtumba,nipo mbeya.Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…