Nauza wine safi ya Dodoma kwa bei nafuu

Nauza wine safi ya Dodoma kwa bei nafuu

Mkuu sajili business name, nenda tbs, pata barcode then upige kazi usifanye biashara kienyeji Boss
 
Boss, mbona hujafanya product labelling?
Naona hivyo vidumu vya lita 5 viko uchi uchi; jaribu kuvivika nguo kidogo vipendezeshe biashara yako Aiseee!
Ni muhimu sana kufanya hivyo maana pia kuna kidogo masuala ya legal requirements.
Yes mkuu labelling ni MUHIMU sana katika bidhaa yoyote ile lakini ningependa nikutoe hofu kwamba batch ijayo ya bidhaa itakuwa rasmi na labells..ni maswala yaliingiliana kidogo
 
Mkuu sajili business name, nenda tbs, pata barcode then upige kazi usifanye biashara kienyeji Boss

Anakusanya mpunga wa kwenda huko.. si unajua vyenye wanakurarua mpaka mtaji unaishia huko?
 
JAMANI WINE YA KUWEKA KWENYE SADOLINI IMEKUWA MBEGE, MNAISHUSHA THAMANI
 
Back
Top Bottom