Njoo tubishane
Member
- Jan 6, 2018
- 39
- 34
Husika na kichwa cha habari.. Nilinunua line ya ttcl na nikawa naitumia mtandao ulikuwa unasoma vizuri lile eneo nililokuwa naishi . sasa nimehama lile eneo na huku nilipo ttcl ni majanga mtandao mda wote emergency ..nilinunua vocha kama za elfu 30 yoyote mwenye kuzihitaji aje pm