Nauza viwanja Bunju B

vanilagal

Member
Dec 6, 2014
38
95
Habari!kuna viwanja bunju B kilomita 4 toka bunju barabaran nauza milion nane ni 30 kwa 30 na kingine milion kumi ni 25 kwa 25 hiki kina msingi wa vyumba vitatu pia umeme,maji vinapatikana karibu na eneo hilo na kingine temboni saranga heka moja, milion 25,huduma za jamii zinapatikana pia,lakin vyote havijapimwa !thanks na karibuni wote,kama ukitaka kuviona check me through 0712882855,note!hakuna dalali ni vya kwangu mwenyewe.
 
May 28, 2017
54
95
Nahitaji sana Mukuu lakini niruhusu nilipe kwa installment atleast four month...kama ombi langu liko ok nijibu hapa hata kama nitachelewa kupata i will call you sir. thank you
 
Sawa tutaongea lakin unipigie tukavione wote kwanza ukaridhike ndipo makubaliano yafuate.karibu
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
40,059
2,000
Dar es salaam,mbele ya tegeta.
Taja Sehemu,Kusema mbele ya tegeta haimaanishi ndio Bunju,Maana mbele ya Tegeta Kuna BOKO-->BUNJU-->MAPINGA-->KEREGE-->>ZINGA--->KIDOMOLE-->>KITOPENI etc,Taja Sehemu Bunju A au Bunju B au Mingoi etc
 
vanilagal

Member
Dec 6, 2014
38
95
Taja Sehemu,Kusema mbele ya tegeta haimaanishi ndio Bunju,Maana mbele ya Tegeta Kuna BOKO-->BUNJU-->MAPINGA-->KEREGE-->>ZINGA--->KIDOMOLE-->>KITOPENI etc,Taja Sehemu Bunju A au Bunju B au Mingoi etc
Kuna boko,basihaya,bunju A,sasa vyangu ni bunju B,kinondo ambapo nikisimama katika viwanja naona wazo hill au Bunju B KINONDO,karibu na wanapochimba kokoto kwa sasa.asante na karibu
 
vanilagal

Member
Dec 6, 2014
38
95
Kuna boko,basihaya,bunju A,sasa vyangu ni bunju B,kinondo ambapo nikisimama katika viwanja naona wazo hill au Bunju B KINONDO,karibu na wanapochimba kokoto kwa sasa.asante na karibu
Ukifika bunju b unaenda upande wa kushoto nikiwa natoka huku tegeta ni straight then nakunja kushoto.asante.
 
Smartbeing

JF-Expert Member
Apr 7, 2014
279
500
Habari!kuna viwanja bunju B kilomita 4 toka bunju barabaran nauza milion nane ni 30 kwa 30 na kingine milion kumi ni 25 kwa 25 hiki kina msingi wa vyumba vitatu pia umeme,maji vinapatikana karibu na eneo hilo na kingine temboni saranga heka moja, milion 25,huduma za jamii zinapatikana pia,lakin vyote havijapimwa !thanks na karibuni wote,kama ukitaka kuviona check me through 0712882855,note!hakuna dalali ni vya kwangu mwenyewe.
30 kwa 30 ni nini? meter, miguu au futi?
 
idaz

JF-Expert Member
Sep 1, 2013
1,054
2,000
Kuna boko,basihaya,bunju A,sasa vyangu ni bunju B,kinondo ambapo nikisimama katika viwanja naona wazo hill au Bunju B KINONDO,karibu na wanapochimba kokoto kwa sasa.asante na karibu
Sema kinondo kwenye mashamba ya sumaye kulikovamiwa..napajua na pia nina sehemu hapo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom