Nauza vipodozi vya kila aina-tabata changombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza vipodozi vya kila aina-tabata changombe

Discussion in 'Matangazo madogo' started by OgwaluMapesa, Aug 7, 2012.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ndg wana JF napenda kuwatangazia kuwa nimefungua duka la cosmetics mitaa ya tabata changombe karibu na stend ya bajaji nyuma ya studio ya picha ulizia MUSSA no 0712 85 66 82...............natanguliza shukrani zangu,nawaombeni muje kuniunga mkono
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ok Ustadh utaungwa usihofu,obagi unazo?
   
 3. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  usijali watakuja kukuunga mkono ila nauliza tu kwa manufaa vipodozi hivyo ni vile original au ni vya mchina? visije vikatuletea cancer ya ngozi maana tulikuwa tuna waamini wakina S.H amon tunakimbilia kule baadhi ya vipodozi zilipelekwa kwenye uchunguzi nilijuta kwenda huko sasa naliamini duka moja tu wapo toka enzi za nyerere na vitu ni original sema ni gharama sana.
   
Loading...