Hao vifaranga wa kienyeji mbegu yake ni ya asili yya wapi,kwa maana kuna wale wanapandikizwa na majogoo kutoka Pemba,wengine kuchi wa singida na wengine wa Malawi.Je wale mchanganyiko wa kienyeji na kisasa wanapatikana?
Vifaranga ni wa mayai ya Malawi, mimi nipo Dar, ukihitaji nakuletea popote utakapokuwepo Dar, kuanzia kuku watano. Asante. Hii biashara inalipa kama ni mtunzaji mzuri wa vifaranga, vifaranga hivyi vimechanjwa na chanjo ya Newcastle.
Simu sasa inapatkana, Poleni kwa usumbufu uliojitokeza, vifaranga wapo wa aina zote, Nakushauri uanze nao kidogo kwa kuwa wakiwa wadogo sana wanahitaji huduma kama ya vifaranga wa kisasa, karibuni wote