Nauza Vifaranga vya Kuchi

Njoo sumbawanga nikuuzie kwa 25000 MKUBWA kifaranga 2000
 
Hivi hawa kuku huwa wanaatamia na kutotoa wenyewe pasipo msaada wa mashine
 
hahahaha samahani mtoa mada umenchosha nahyo bei!kuchi ni kuchi tu mie ninao sijawah waza kuuza dah we kweli kiboko! kwel wewe mjasiriamali wa kuchi!mie ndo kwanza naazimisha bure majogoo !dah!kila laheri
 
Naomba niuzie ndugu ,huyu jamaa bei yake ni maradufu
 
Kuchi wananyama nying ktk kuku asili(kienyeji). Pili ni urembo. Tatu wanatumika ktk mashindano ya kupiganisha kuku ktk macasino,
Kifaranga ndo 50k mkuu[emoji1] [emoji1] , hawa Kuku sijui kwann huwaga wana bei namna hii
 
Huwezi pata mbegu nzuri pure kuchi kama yangu. Kama unataka kuchi wapo aina nyingine pia ninazo sio mdomo pini, kifaranga sh 10-15
Unakodisha jogoo la kupandishia tetea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…