Nauza Vifaranga vya Kuchi

kibuyu180

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
1,795
Reaction score
1,952
Napenda kuwasilimu wana Jf wenzangu. Ni jambo jema sana kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa afya na uhai.
Ninauza vifaranga vya kuku aina ya kuchi mdomo pini. Kuchi wenyewe kabisa sio hao wanaochanganywa na mbegu zingine.
Bei kwa kifaranga kuanzia cha siku 1 hadi siku 10 ni sh 50,000/=.
Wanapatikana hapa hapa dar eneo la Pugu.
NB: Pia ninazo aina zingine za kuchi.
Karibun sana, anayehitaji anichek PM.

Naweka picha ya hao kuchi mdomo pini
 
Kifaranga ndo 50k mkuu[emoji1] [emoji1] , hawa Kuku sijui kwann huwaga wana bei namna hii
Wananyama nyingi sana, manyoya ni kidogo japo kwa umbo unaweza ukaona ni mdogo.
 
Vp kuhusu idadi ya mayai kwenye utagaji. Pengine hii ikawa ndio sababu kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…