Nauza vifaa ya kike vya saloon vipo kibaha

CHIKITITA

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
445
Reaction score
158
ni dryer 2, kila maja tsh 120000, sink 1, sh 35000, kioo 23 kwa 23 kwa tsh 20000. Sio kwamba mimi ni dalali, ila kuna mtu ameniomba nimtangazie biashara, ikiwa unahitaji ni PM ili nikupe namba yake muwasiliane
 
bado vifaa vipo mkuu??na viitaji kama vipo .namba yangu 0713 95 92 90
 
ni dryer 2, kila maja tsh 120000, sink 1, sh 35000, kioo 23 kwa 23 kwa tsh 20000. Sio kwamba mimi ni dalali, ila kuna mtu ameniomba nimtangazie biashara, ikiwa unahitaji ni PM ili nikupe namba yake muwasiliane

Hapo kwenye red, yote yanatoka wapi haya...
 
Back
Top Bottom