Sababu za kuuza?Wana JF nauza hivo Vifaa;
-Kabati kubwa ngazi tatu
-Jiko la Motor linalotumia chenga za mkaa
-Jiko la mkaa la kuchomea viaz la kawaida
-Jiko la mishikaki
-Meza ya kuweka Kabati
-Makalai mawili ya viazi na kuku
- Flampeni 2
-Vyombo na vifaa vingine kama Taa kubwa
Bei 380K vyote.....
Eneo lipo Kimara Korogwe njia ya kwenda Majichumvi sehemu inaitwa Zebra Pub vijana pia wa kazi wapo
Kama utahitaji nicheki inbox 0717118644
PichaWana JF nauza hivo Vifaa;
-Kabati kubwa ngazi tatu
-Jiko la Motor linalotumia chenga za mkaa
-Jiko la mkaa la kuchomea viaz la kawaida
-Jiko la mishikaki
-Meza ya kuweka Kabati
-Makalai mawili ya viazi na kuku
- Flampeni 2
-Vyombo na vifaa vingine kama Taa kubwa
Bei 380K vyote.....
Eneo lipo Kimara Korogwe njia ya kwenda Majichumvi sehemu inaitwa Zebra Pub vijana pia wa kazi wapo
Kama utahitaji nicheki inbox 0717118644
Njoo inboxBila picha hili sio tangazo
Kama unahitaji njoo inboxTununue bila picha?
Kama unahitaji picha nicheki inbox nikutumie WatsapTununue bila picha?
Kama unahitaji picha nicheki inboxWeka picha ndugu, tuweze kuona mali yenyewe.
Njoo inbox ukitaka picha 0717118644Weka picha ndugu, tuweze kuona mali yenyewe.
Vipi biashara hapo kuna frame nianzishe ili niwe nakula waremboNjoo inbox ukitaka picha 0717118644
Hiyo biashara na kuonja onja kila muda! kuhonga wanafunzi na wahudumu wa bar! Haviendani hata kidogo. πHivi zero IQ ameacha kuchakata pisi skuiz ?, mbona simuoni akianzinsha nyuzi?ππππ