Nahitaji vifaa vya chips kwa mwenye navyo

Edson Carrington

JF-Expert Member
Oct 30, 2022
216
634
Habari wana JF,

Kama kichwa cha tangazo kinavyosema, nahiuhitaji wa vifaa mbalimbali kwa ajil8 ya biashara ya chips(viazi). Vifaa hivyo ni kama jiko liwe la rimu au maranda, kabati ya aluminium, meza ya kabati, na karai.

Nipo Dar es Salaam, nichek kama unavyo vifaa hivyo
 
Habari wana JF
Kama kichwa cha tangazo kinavyosema, nahiuhitaji wa vifaa mbalimbali kwa ajil8 ya biashara ya chips(viazi). Vifaa hivyo ni kama jiko liwe la rimu au maranda, kabati ya aluminium, meza ya kabati, na karai
Nipo dar es Salaam, nichek kama unavyo vifaa hivyo
Unahitaji vya kununua, kukodisha ama kuazima..??
Alafu hiyo namba yako ya simu mbona inaita tuuu haipokelewi mkuu..🤔
 
Back
Top Bottom