Hatimaye Leo wakat naperuz humu jamvin nikakutana na huu utaratibu wakujiintrodyuz mim si mgen humu ingawaje ishu hii nimeijua Leo ni Muuza Viatu namaanisha km HV.
Mungu ajaalie tuvumiliane inapotokea tumetofautiana mitazamo ktk mada humu jamvin bila ya kuvunjiana heshima.
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.