mkuu hii kitu n nzuri sana..nilishawahi kuila n tamu zaidi ya nyama... na nilipata kusikia kuwa inatibu vitu vingi sana katika mwili wa mwanadamu.. watanzania waamke waanze kutumia chakula bora kwa ajili ya afya zao.,wenzetu weupe n walaji sana wa hii kitu maana huelewa manufaa yake.,hata bungeni walshawai kuzungumzia kuwa huongeza nguvu za wakina baba zaidi ya ile supu ya pweza.,hapana chezea uyoga. vipi kwa sisi wateja wa kilo moja ama mbili twaweza kupata hiyo kitu... ntakupm kwa mawasiliano zaid