Nauza UYOGA (oyster mushroom)

Mb-one

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
880
1,279
habari zenu wana JF... wadau mimi ni mjasiriamali ninauza uyoga (oyster mushroom). nipo dar es salaaam.,nina uwezo wa kusupply uyoga wa kutosha kwa kila siku. kwa yeyote anayehitaji anaweza kuwasiliana na mimi kwa kun pm au ncheck kwa email hii tzmushroom@gmail.com
karibun sana
 
asante bei gani kwa kilo? rejareja unauza? unapatikana wapi au unamfuata mteja?
 
very good,je una spawn(mbegu)...unauzaje? na bei za uyoga wako zikoje kwa Kg?
 
very good,je una spawn(mbegu)...unauzaje? na bei za uyoga wako zikoje kwa Kg?

sisi hatuhusiki na uuzaji na utengenezaji wa mbegu,sisi tunaproduce fresh oyster mushroom,kilo 15 kila siku,bei 10000 per kg
 
mkuu hii kitu n nzuri sana..nilishawahi kuila n tamu zaidi ya nyama... na nilipata kusikia kuwa inatibu vitu vingi sana katika mwili wa mwanadamu.. watanzania waamke waanze kutumia chakula bora kwa ajili ya afya zao.,wenzetu weupe n walaji sana wa hii kitu maana huelewa manufaa yake.,hata bungeni walshawai kuzungumzia kuwa huongeza nguvu za wakina baba zaidi ya ile supu ya pweza.,hapana chezea uyoga. vipi kwa sisi wateja wa kilo moja ama mbili twaweza kupata hiyo kitu... ntakupm kwa mawasiliano zaid
 
Mkuu utunzaji wake ukoje lets say nimenunua kilo tatu, na siwezi kuutumia ndani ya wiki moja.
 
ni rahisi sana mkuu.,unahifadhi kwenye fridge na unatumia taratibu kadri ya matumizi yako.

Mkuu utunzaji wake ukoje lets say nimenunua kilo tatu, na siwezi kuutumia ndani ya wiki moja.
 
ni rahisi sana mkuu.,unahifadhi kwenye fridge na unatumia taratibu kadri ya matumizi yako.

Thanks mkuu kesho ntakutafuta nadhani umeweka namba yako ya simu kwenye uzi, napenda sana uyoga
 
No yangu ni 0717163106,mwenye kuhitaji uyoga tuwasiliane
 
Mi ningependa kulima nlisoma sehem kuna kulima kwa maranda mabaki ya mbao ila sjajua unayafanyaje? Msaada wa namna ya kulima uyoga kwa maranda nisaidie
 
Mtamu jitahidi ututembelee Mwanagati Mushroom farm, kitunda,0757 466508, utajifunza jinsi ya kulima uyoga kwa tecknolojia ya kisasa ya kutumia plastic bottles, inapunguza gharama za uzalishaji
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom