Nyam Senior Member Joined Jul 9, 2012 Posts 134 Reaction score 72 Sep 22, 2014 #1 Hallow wana JF, Nauza Used Desktop Computer zangu kutoka Germany, wenye nia ya kununua anipm, ninazo 8 @ 250,000. Nipo Dar. Natanguliza Shukrani zangu.
Hallow wana JF, Nauza Used Desktop Computer zangu kutoka Germany, wenye nia ya kununua anipm, ninazo 8 @ 250,000. Nipo Dar. Natanguliza Shukrani zangu.
M MWANANCHI MUSOMMMA JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 328 Reaction score 50 Sep 22, 2014 #3 Mkuu mi nahitaji MOJA ila nina kilo (100,000/=+)je sipati mkuu tuwasiline tuma pic nizione ktk WHATS-APP tuongee...0667740797
Mkuu mi nahitaji MOJA ila nina kilo (100,000/=+)je sipati mkuu tuwasiline tuma pic nizione ktk WHATS-APP tuongee...0667740797
E Enenja Senior Member Joined Jul 27, 2014 Posts 100 Reaction score 5 Sep 23, 2014 #4 Nitumie pc zake whatsapp nione then tuongee 0765454403
Mkubya Member Joined Oct 2, 2013 Posts 53 Reaction score 24 Sep 23, 2014 #5 Spesification zake ni zipi ??? computer sio kama viazi kwamba zote sawa mkuu
Nyam Senior Member Joined Jul 9, 2012 Posts 134 Reaction score 72 Sep 23, 2014 Thread starter #6 Pole sana mkuu, yani hizo Computer naziuza 250,000 ikipungua sana ni 245,000..
Nyam Senior Member Joined Jul 9, 2012 Posts 134 Reaction score 72 Sep 23, 2014 Thread starter #7 Ni aina ya FUJITSU from German, RAM 2GB, Hard disk 80, Processor Dual Core. Nilizinunua kwa ajili ya Training ya Computer ila nimefikiria kitu kingine ndo mana nimeamua kuuza..Bado hata sijazifungua.
Ni aina ya FUJITSU from German, RAM 2GB, Hard disk 80, Processor Dual Core. Nilizinunua kwa ajili ya Training ya Computer ila nimefikiria kitu kingine ndo mana nimeamua kuuza..Bado hata sijazifungua.
mxsdk JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 3,584 Reaction score 2,056 Sep 23, 2014 #8 upo mkoa gani?
fugees JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 2,868 Reaction score 884 Sep 23, 2014 #9 kula hii 150k fasta au ni machogo?.