MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,455
Kwa hiyo na wembamba nao ni afya. Hata wazungu wanapenda sana figure za wamarekani weusi.Huo ni mtizamo wa kiafrika kuwa unene ndio afya!! Ila unene sio kigezo kuwa na afya nzuri, na hatari sana, ndio maana wanakabiliwa na matatizo ya kiafya kila siku!! Na sasa watu wanaojitambua wanatumia gharama kubwa sana kuukataa unene
Sent using Jamii Forums mobile app