Noriega Jr
Senior Member
- Apr 12, 2014
- 168
- 59
Eneo ulipo ni mali yako au ni pa kulipia kodi? Naomba kuuliza ulishaanza kuufanyia kazi?! Mana kwa maelezo kama umefika kwenye lenter means haujaezekwa hebu fafanua kidogo kidogo nimekuwa interested kama price itapungua
Habari zenu,
Kama kichwa habari hapo juu,
Nauza ukumbi wa sherehe na shughuli mbalimbali,
Ukumbi huu haujamalizika umefikia kwenye lenta, nilijenga kwa ajili ya wapenda mpira, ukumbi upo kibaha una uwezo wa kuchukua watu 450 mpaka 500 waliokaa, una nyumba ya kuishi chumba na seble yake, una vyoo vitano,
Ndani una sehemu ya duka na control room,
Una vifaa vya ndani
Video projector 2
Epson s118
Sony,zote ni full HD
Na screen projector za ukubwa wa mita 2 picha,
Na cable zake za HD 20 meters
Na Av cable 20 meters, kuna generator
Kuna Dstv ikiwa na extra views
Azam tv pia,
Nilijenga kwa ajili ya target mpira,
Nimeshindwa kuendeleza kwa sababu naishi nje ya nchi nimeshindwa kusimamia kwa ufanisi, bei m17 maongezi yapo
Maelezo zaidi anaehitaji anicheki hapa pm au email,iskhazrahbi@yahoo.com au contact +96895569080 hiyo pia kwa whatsaap,
Weka mambo sawa kidogo mkuu... Ardhi ni yako na unayo hati yake? na ipo Kibaha sehemu gani tuweze kuja kutizama!
Mkuu Mlaleo ardhi ni mali yangu,haina hati ila ninazo karatasi zote za umiliki,iko kibaha misugusugu ,jirani kabisa na check point kama unaifahamu kibaha uzuri,kutoka barabara kuu ya moro haizidi mita 100 kufika
Mama Mdogo ikiwa magufuli atapita pale basi wataarithika walio mbele yangu zaidi maana Mimi niko mtaa wa pili toka mbele ya barabara kuu,kuhusu umbali sina hakika kipimo cha magufuli ni mita ngapiNami nakuwa interested, ila nakwazika na usemi kuwa hii property iko umbali usiozidi mita 100 toka barabara kuu, hivi mita za road reserve (Magufuli) ni ngapi, 30, 70, 100 au 150?
Kibaha siifahamu fresh ila mambo ya uwekezaji tu Mkuu... Kibaha nayoifahamu ni kule maeneo ya Jeshi,Mkuu wa Mkoa na hapo kituoni tu Mail Moja na ule upande wa juu pamechangamka zaidi.. Hapo Misugusugu na Check Point sipafahamu ila naweza fanya mpango niende nikapatizame kwanzaMkuu Mlaleo ardhi ni mali yangu,haina hati ila ninazo karatasi zote za umiliki,iko kibaha misugusugu ,jirani kabisa na check point kama unaifahamu kibaha uzuri,kutoka barabara kuu ya moro haizidi mita 100 kufika
Mama Mdogo ikiwa magufuli atapita pale basi wataarithika walio mbele yangu zaidi maana Mimi niko mtaa wa pili toka mbele ya barabara kuu,kuhusu umbali sina hakika kipimo cha magufuli ni mita ngapi
Wewe kwa sasa uko wapi? Maana mimi niko mbezi ya kimara kama vipi tuonane
Oooooh, asante kwa taarifa kuwa uko msitari wa pili toka barabarani, basi waweza kuwa uko salama. Ngoja nitafuatilia kwa umakini umbali wa road reserve.
Mkuu@ mnyepe kwa sasa niko nje ya nchi,kama ukiwa tayari kutaka kuona ni pm namba yako nitakupa namba ya mdogo wangu yuko pale na atakuonyesha
Kibaha siifahamu fresh ila mambo ya uwekezaji tu Mkuu... Kibaha nayoifahamu ni kule maeneo ya Jeshi,Mkuu wa Mkoa na hapo kituoni tu Mail Moja na ule upande wa juu pamechangamka zaidi.. Hapo Misugusugu na Check Point sipafahamu ila naweza fanya mpango niende nikapatizame kwanza