Nauza uchafu wa ufuta

Nauza uchafu wa ufuta

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
57,803
Reaction score
49,109
Wakuu habari

Nauza uchafu wa ufuta kwa tani sh 10,000 anayenhitaji anione na uchafu wa karangu 40,000 kwa tani ... uchafu huuu upo Vingunguti....

Asanteni karibuni sana
 
wanatumia kama mbolea mashambani na taka taka za karanga ni chakula cha kuku!
 
Watu wangeshangaa ushafu tena unauzwa imebidi nieleze nnachokielewa kuhusu hiyo makitu
Mabaki ya karanga ni chakula kizuri sana kwa kuku
Asante kwa kurekebesha maana takataka au uchafu si kitu chenye thamani hata kidogo. Kikiwa na thamani huitwa jina linalovutia. Mfano kinyeshi cha ng'ombe ni uchafu ila ukihitajika wanaita mbolea ya ng'ombe
 
takataka au mashudu?
Hii ni waste inayotokana na karanga baada ya kuchambua karanga na kuchukua ile iliyo nzuri. inayobaki sasa inakuwa na ukungu kidogo, nyingine imenyauka kidogo.Kwasababu katika soko haikubaliki ndio nnayoimaanisha .nafikiri ina maana tofauti na mashudu.
 
Huo ukungu si ndo aflatoxin ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom