Nauza ubuyu mtamu wa embe

Nauza ubuyu mtamu wa embe

Hapa umeleta mada mbili ubuyu ni matunda yatokanayo na mti uitwao mbuyu, na maembe yanatokana na mti uitwao mwembe.
Sasa unaposema ubuyu wa maembe, unachanganya watu, kwamba itakuwa na test gani. Kwakuwa kesho ninakuja hapo mjn Tbr, nielekeze mtaa
unapouzia bidhaa zako hapo mjini, ili nije nijiridhishe "live"
Karibu sana bidhaa yangu unaweza ipata amur supermarket tabora mjn
 
Nikishaweka utanunua gunia ngap
Hayo Makitu hata TFDA hayajapita mtu hawezi nunua Gunia au Magunia... Dada uza kimachinga machinga tu Nchi hii mkulu wa Sasa hataki na hapendi wafanyabiashara wakubwa kwani maisha wanayoishi hapendezwi nayo maisha ya kimalaika...
 
Consumption of this product by males eventually leads to a syndrome known scientifically as KAOGEISM!!
 
Were waukweli sana nimekubali unacho Fanya kama unahitaji rawmaterial ubuyu nitafute utapata wakutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom