Huo Utamu ni wa aina gani tena? au ndio yale mambo ya Nasikia Utam nasikia utam nasikia utam tam...mtam sana
Ok ntashukuru karibuJumapili nitakua hapo kanyenye Oxygen lunch nitakutafta nikuunge kdgo
Dar ni home kwetu tabora kimaisha tu nlimtumia mama mzgo hivyo kwa anae taka dar anaweza pata bila shidadar nimegundua upo tabora ngoja ntatafuta asante
Ahsante sana kwa ushaur mzur nitajitahid maana ndo naanza kidogo kidogoHongera sana kama ukijaribu kupeleka india kuna soko kubwa sana kule kuna mdau mmoja nilimsikia redioni yeye ni mtanzania ila anaishi kule india ndiyo biashara zake hizo pia anapelekaga na dagaa wale wa mwanza safi sana
Nikishaweka utanunua gunia ngapTuwekee TIN namba yako tutizame kama unalipa kodi wewe.... na make sure unarisiti kwa kuuza kwako Jumla sio mfanya biashara mdogo anymore
Hata kwetu shilawadu wapo tuma tu pesa utawafikia[emoji12]Hii Inawahusu SHILAWADU ,tena kwa vile ni wa maembe watajilamba midomo. please wape wa elfu 5 gharama kwangu.
Jaman dia karibu unapatikana wap uonjeUbuyu Wa embe mtamu sana,sijaula siku nyingi
Miss Natafutakama ni embe unakuwaje tena ubuyu? sema nauza embe
MNA duka DarJaman dia karibu unapatikana wap uonje
Ahsante bora umewafahamisha yah sana mombasa zenj na tangaMiss Natafuta
Huu ubuyu wa embe upo zamani sana mbona mara yangu ya kwanza kula ilikuwa Mombasa, Kenya mitaa ya Kibokoni. Mleta mada wala hajakosea jina lake ndio unavyoitwa ni mtamu hatari[emoji39] [emoji6]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndio but kiwalanMNA duka Dar
AhsanteHongera....
Upo kama upo taboraWakuonja upo?
Hapa umeleta mada mbili ubuyu ni matunda yatokanayo na mti uitwao mbuyu, na maembe yanatokana na mti uitwao mwembe.Nauza ubuyu wa embe ambazo zimekaushwa na kupikwa kama ubuyu ni mtam sana kwa anaehitaj 0654695943 Tabora. Jumla na rejareja kwa bei nafuu sana 1000 kwa 500![]()