Bei Nzuri sana TV nchi 42 inazidiwa price na Simu Gallaxy Note 3 ya nchi 5? Tatizo nini?
Hata tv samsung inch 24 mpyaa dukan na warant 2yrs ina screen kubwa pia kushinda hyo cm lakin bado haifikii gharama za hyo cm used... Tv haina tatizo nauza nna shida kama unahitaji njoo uone
tv ipo kinondon mkwajuni.. Njoo na fundi uikague.. Nakupa na waranty.. Nasema hvyo cos nnaijua tv yangu na nna uhakika..
Wakuu nauza tv yangu aina ya samsung plasma inch 42 in a good condition ndiyo nnayoitumia kwangu.. bei ni shilingi laki 680 alfu..kama ukiihitaji nichek 0713 799 522 sababu ya kuuza nmepata matatizo ya ghafla
Bei Nzuri sana TV nchi 42 inazidiwa price na Simu Gallaxy Note 3 ya nchi 5? Tatizo nini?
Tatizo PLASMA.
Nmewahi kutumia lcd, led pia lakin plasma kwangu ndo the best coz inanipa picha quality nnazotaka na pia matoleo yake hayapitwi na wakati kama lcd na led kila mwaka wana toleo jipya.. Na ubora wake pia
watu kama mnawashwa minduku mnajikunia kwa threads za watu
kuwa mchawi sio lazima ubebe tunguli
Mtu anauza kitu chake kama si mnunuzi tulia. Hakuna chizi mwene hela
mbona unatokwa povu sana, mleta mada ni bwanaako?
unisamehe kama imekugusa, nilikuwa nafafanua jambo tu kwa mdau, au haukupenda ifahamike?
mleta mada; tv iko vizuri na bei unayouza ni size yake. muelekeze huyu mkeo kuwa mimi sina nia mbaya.