Nauza TV na vifaa mbalimali

Nauza TV na vifaa mbalimali

Mimi nauza Inch 43 kwa Tsh 480,000 mpya na zipo kwenye Box,unaitumia kwenye Sola na kwenye Umeme
 
Sio Kweli mkuu huwezi kupata Hisense inch 43 Kwa 550000 kariakoo, unless otherwise wewe ndio uwe muuzaji na kama ni hivo basi tujuze ndugu zako ofisi yako ilipo tuje tukuunge biashara
Usibishe basi kama kariakoo unaijua yote,kuna machimbo amini nikuambiacho,na inch 50 unapata kwa 900,000
 
Sawa mkuu nimeacha kubisha, maana kuna Mali za mishe pia, kama vipi at some time nitahitaji msaada wako unilengeshe eneo la tukio maana najua nikilenga shop siwezi kupata daima Kwa hiyo bei
 
Mkuu pale bandarini ushuru ulilipia bei gani tafadhali
Mimi baada ya kuinunua, nilimpa jamaa yangu, 50, 000, ambaye ni mzoefu, wa huko, niliikuta dar, ki fupi pale bana, kuna wenye kazi hizo, na yeye aliniambia hivyo!!hivyo ki uhalisia cwezi sema bei halisi.
 
Sawa mkuu nimeacha kubisha, maana kuna Mali za mishe pia, kama vipi at some time nitahitaji msaada wako unilengeshe eneo la tukio maana najua nikilenga shop siwezi kupata daima Kwa hiyo bei
Nikupe siri kabla ya kwenda kufanya manunuzi panga siku unapita duka kwa duka mtaa kwa mtaa,utakuja nishukru baadae
 
Waambie wambuke macho,walikua wanapigwa pakubwa sana,yaani inch 32 kwa 550,000?
Mkuu umeijua hiyo kampuni lakini? Issue sio kupigwa pakubwa au padogo ila issue ni kupata kile ambacho mtu ulikidhamiria, sio usikie tu tv inch 43 Kwa 480000 unakimbilia, Kila kampuni Ina bei zake na watu wanaridhika kulingana na thamani na ubora wa kampuni, kaulize bei ya Samsung au LG ya inch 43 alafu urudi hapa useme watu wanapigwa

Kuna kampuni ich 32 tu Kwa 500000 hupati ila kama ndio lengo lako itabidi tu uitoe hiyo hela, na ndio maisha yalivo, it's about satisfaction, wakati we unasema siwezi kutumia simu ya laki 5 wapo ambao wanasema hawawezi kutumia simu ya bei chini ya 1m kwahiyo Kila mtu anajikuna anapoweza

Kuna kampuni ya aborder unapata hadi inch 43 smart tv double screen Kwa 580000 Kwa bei ya mwaka Jana ila unakuta mtu anaacha hiyo anaenda kununua inch 32 ya LG Kwa 550000 utamuongeleaje Huyu mtu? hivi vitu bana vina watu wao ndomana wateja hawawezi kuisha ata iweje maana tupo katika class tofauti
 
Kweli asee kila shetani na mbuyu wake.
 
Sasa Zanzibar huwa kuna nini, kwanini vitu bei rahisi kuliko bara akati ni nchi moja Tanzania?
 
Sina uhakika ila nahisi vitu vyao vingi wanaviagiza kutoka Nchi za kiarabu, na wao huchukuliwa kama vile sehemu ya nchi ya kiarabu, kama unavojua hawa wenzetu wanajua sana kubaguana hivo upande wa Kodi Waga ni mseleleko pindi hizi za aina hii zinapofanya biashara

Kingine pia Zanzibar ni sehemu ambayo wageni wanaenda wengi Sana, kwahiyo unakuta asimilia kubwa ya familia za kule vitu vya electronic hupata kama zawadi tu kutokana Kwa marafiki zao hivo ata uhitaji wao unakuwa ni mdogo sana, sa kwenye biashara demand ikiwa ndogo basi tena ata bei itakuwa the same

NB: mawazo yangu tu Mkuu
 
Waambie wambuke macho,walikua wanapigwa pakubwa sana,yaani inch 32 kwa 550,000?
acha maneno mengi ..
nionnyeshe risiti ulonunua Hisense smart TV hata inch 32 tu chini ya 530,000 ...
screenshort risiti uweke hapa tumalize utata ..
sijakwambia Tcl au Star x nimekwambia Hisense mkuu ...
 
Mkuu umeijua hiyo kampuni lakini? Issue sio kupigwa pakubwa au padogo ila issue ni kupata kile ambacho mtu ulikidhamiria, sio usikie tu tv inch 43 Kwa 480000 unakimbilia, Kila kampuni Ina bei zake na watu wanaridhika kulingana na thamani na ubora wa kampuni, kaulize bei ya Samsung au LG ya inch 43 alafu urudi hapa useme watu wanapigwa

Kuna kampuni ich 32 tu Kwa 500000 hupati ila kama ndio lengo lako itabidi tu uitoe hiyo hela, na ndio maisha yalivo, it's about satisfaction, wakati we unasema siwezi kutumia simu ya laki 5 wapo ambao wanasema hawawezi kutumia simu ya bei chini ya 1m kwahiyo Kila mtu anajikuna anapoweza

Kuna kampuni ya aborder unapata hadi inch 43 smart tv double screen Kwa 580000 Kwa bei ya mwaka Jana ila unakuta mtu anaacha hiyo anaenda kununua inch 32 ya LG Kwa 550000 utamuongeleaje Huyu mtu? hivi vitu bana vina watu wao ndomana wateja hawawezi kuisha ata iweje maana tupo katika class tofauti
Now you are talking
 
tv aina ya Hisense smart TV 32 inch inauzwa .. ..
haina kipengele ..
risiti ipo ..
bei 350k ..
contact 0715 194 611 ..
location Arusha/Moshi View attachment 2464855View attachment 2464856View attachment 2464857View attachment 2464858
IMG_20211209_134741_0.jpg
 
Back
Top Bottom