Nauza TV na vifaa mbalimali

Nauza TV na vifaa mbalimali

Kitu ukishakinunua dukani ukawa nacho mkononi hapo hapo bei inashuka ghafla si ajabu ukauza nusu bei uliyonunulia. By the way sikukatishi tamaa unaweza pata zoba lako ukalipiga bei ile ile
naelewa mkuu .. Kila kitu ni maelewano ..
mtu ukitaja Bei nitakayoridhika Mimi biashara inafanyika bila Shaka yoyote ..
hamna linaloshindikana
 
Hiyo ni bei ya 43"
Screenshot_20220103-204902_Instagram.jpg
 
unauza used kwa bei ya dukani mkuu? Anyway niko serious niko na 250k Kama itafaa niifate.
 
Sio Kweli mkuu huwezi kupata Hisense inch 43 Kwa 550000 kariakoo, unless otherwise wewe ndio uwe muuzaji na kama ni hivo basi tujuze ndugu zako ofisi yako ilipo tuje tukuunge biashara
Wabongo bhana, hivi kweli Tv inch 43 upate kwa 550k, labda km ni feki.
 
Wabongo bhana, hivi kweli Tv inch 43 upate kwa 550k, labda km ni feki.
Unaweza ukapata me sipingi juu ya Hilo ila issue inakuja pale mtu anaposema unapata Hisense inch 43 kariakoo Kwa 550 mkuu, hapo ndio shida ilipo, Kwa hiyo bei saiz huwezi kupata aisee tofauti na Zanzibar Tena inakuwa sio Smart tv unaweza pata LED, ila Kwa Dar ata usunguke ukiwa uchi hupati Ng'ooo

Kuna kampuni nyingi sana za kichina saiz na majina ya ajabu ajabu Kwa hiyo bei usingae ukapata tena mpya tu, maana kuna mdau alileta tangazo humu anauza tv inch 32 ALITOP kwa 335000 Tena mpya kabisa kwenye box lake, sa kampuni kama hiyo si unaweza kupata inch 43 Kwa 550 mkuu
 
Wabongo bhana, hivi kweli Tv inch 43 upate kwa 550k, labda km ni feki.
Nasema hivi mimi mwaka jana nimenunua kwa bei hiyo, hayo mambo ya fake ni yako, ila huo ndio ukweli!!tena brand new full hd!!ndio maana nimesema ni kwa zanzibar, kwa anayefahamu ununuaji wa bidhaa upande wa zanzibar wala haoni ajabu kwa hilo!!
 
Back
Top Bottom