Nauza TV na vifaa mbalimali

Nauza TV na vifaa mbalimali

mtu anaongea bila kufanya research .. sema ndo hivyo kaka huwezi mzuia mtu kutoa maoni yake
Amemtusi vyema tena kitaalamu
Mimi baada ya kuinunua, nilimpa jamaa yangu, 50, 000, ambaye ni mzoefu, wa huko, niliikuta dar, ki fupi pale bana, kuna wenye kazi hizo, na yeye aliniambia hivyo!!hivyo ki uhalisia cwezi sema bei halisi.
Kumbe ilikuwa deal sasa mbona mnaharibu biashara za watu hapa.sasa mtu umenunua tv alfu hamsini ilikuwa ya nini?tupendane
 
Back
Top Bottom