Magu......tuangazie wananchi wako
Hali si hali
Dollari inazidi kupandisha morii
Shambani jua linakuwa Kali na hali si shwari, ya kaisari anapewa askari
Wajasiliamali tunabaki na mabakuli
Maisha yanageuka tofani tukumbuke asilani
Wanazuoni kamwe hawawezi kuelewa hapakazi tu na njaa mifukoni,
Elimu ya juu sasa imekuwa anasa maskini ni adimu kuipata.
Mapenzi kwenye familia yanazidi kuyeyuka na wazazi majukumu kuyatelekeza bila sababu kuzingamua
Sasa imekua pambio hatujinyongi, hatunywi sumu CCM mbele kwa mbele tumekubali sasa yetu ni matembele kwa kande