Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
- Thread starter
- #21
Mkuu haiwezekani nimefunga biashara.Mkuu mbona dunia imehama kwenye keknolojia hiyo tumepita LCD,led,na sasa tupo kwenye smart we umeng'ang'ana tu na TV ya kibiongo kula 50000 mkuu nimuwekee Germany Shepherd wangu nae aliwazike kabla ya kuingia lindoni.