Nauza toyota wish

Nauza toyota wish

emanuel kiduvilo

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
165
Reaction score
20
Imetembea km 72000,mzik wa mil 2,tair nimebadilisha hz ni siz 17,gar bado mpya haijamaliza wk mbil,bei mil 15,5 maongez kidg xn picha chin hapo
 

Attachments

  • 1422078230556.jpg
    1422078230556.jpg
    29.6 KB · Views: 742
  • 1422078245534.jpg
    1422078245534.jpg
    32.1 KB · Views: 673
  • 1422078262960.jpg
    1422078262960.jpg
    33.6 KB · Views: 657
  • 1422078277044.jpg
    1422078277044.jpg
    37.5 KB · Views: 640
  • 1422078290576.jpg
    1422078290576.jpg
    40.2 KB · Views: 621
  • 1422078304729.jpg
    1422078304729.jpg
    39.8 KB · Views: 616
  • 1422078320639.jpg
    1422078320639.jpg
    32.5 KB · Views: 647
Kama sihitaji mziki wako bei tayari inakuwa 13m kabla ya maongezi
 
Jaman dats wai nimeweka no ya cm km umeipenda unanitafuta kwa hy no tunaongea hii ni biashara tu
 
Kama sihitaji mziki wako bei tayari inakuwa 13m kabla ya maongezi

M13 ni mpya kwenye makaratasi? Mbona ni bei ya kawaida inayopatikana kwenye mashow room hapahapa mjini.Tena kuna showrum zingine unawezapata kwa M10 mpaka 12M
 
Bei ya kuuzia sh ngapi mkuu??

Najua hapo umetaja tu ili kunogesha biashara
 
Nazipenda sana hizi gari. Ukiagiza toka japan mpaka hapa itanikost arround 12mill. Sijajua tu kama zina matatizo ya aina gani.
 
Ina CC 1292??? Hamna Wish ya namna hiyo! Halafu hiyo Wish ya 2003 unauza 15.5 wakati kwa M12 net inapatikana kabisaaa tena imesimama.
 
Mziki wa M2? Hivi unaujua mziki wa milioni mbili wewe? Hilo pipa la kichina uliloweka hapo lenye busta hapo hapo sh 200,000... .... Huna akili wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom