Nauza Toyota mark 2 GX 100

Nauza Toyota mark 2 GX 100

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,942
Reaction score
802
Nauza Toyota Mark 2 GX 100 bei ni milioni tatu na nusu tu (3.5) iko safi na haina tatizo lolote njoo na fundi wako unaemwamini aje aikague. Bei ni fixed
0784 234224 for more informations.
ImageUploadedByJamiiForums1384361501.587570.jpg ImageUploadedByJamiiForums1384361541.653416.jpg ImageUploadedByJamiiForums1384361573.003605.jpg
 
Nashukuru humetukumbuka hata cc walala hoi.tujifute tununue jamani.tuache kupata daladala
 
Bei reasonable but six cylinder inakunywa wese kama haina akili nzuri
 
Bei reasonable but six cylinder inakunywa wese kama haina akili nzuri

Ulaji unatofautiana mkuu, kuna four inayokula mafuta kuliko six, hizi gari kwa safari za mbali utazipenda sana tu, na nauza bei hiyo si kama gari ni mbovu sana au inakula mafuta sana hapana, nimepata na dharula nahitaji pesa ya haraka, ndio maana nikataka uje na fundi unaemwamini ili akague gari.
 
Back
Top Bottom