Nauza Toyota Kluger V ya 2001

Nauza Toyota Kluger V ya 2001

nitumie picha mkuu ila nitakupa 17m mana bajeti yangu ni 18m hyo 1m ni ya mafuta na service mpka kulifikisha kwenye huu mkoa ninao ishi mimi,tafadhali fanya hivyo mkuu wangu.

Huyu ata ukimfanyia 10m hanunui ndo zake kusema nna 3 ,6,7 etc
 
Kluger namba BEH kwa Mil 20??? Umetishaaaaaaaaaaaaaaaaa.... Hivi unajua unachoukiuza lakini au ndio wale wale? Ukifika Mil 8 niambie nikupe. Ma-Kluger majini hayo yanakula wese vibayaaa bora lingekula mchemsho. Hilo gari utapiga nalo picha tuu kwa bei yako ya kijinga hiyo.

Mfyuuuuuuuuuuuu..........
 
kluger namba beh kwa mil 20??? Umetishaaaaaaaaaaaaaaaaa.... Hivi unajua unachoukiuza lakini au ndio wale wale? Ukifika mil 8 niambie nikupe. Ma-kluger majini hayo yanakula wese vibayaaa bora lingekula mchemsho. Hilo gari utapiga nalo picha tuu kwa bei yako ya kijinga hiyo.

Mfyuuuuuuuuuuuu..........

sema huna hela tuu na wewe kujishauaaaa....

20m kwa klugger anakupa bure ndio hivyo hujui...au unasubiri klugger itolewe na airtel kama vi-ist vyetu ndio na wewe ulimiliki?....wabongo tuache kuchoshana...

Tafuta bei ya klugger kwenye masoko ya kijapani kisha weka ushuru na kodi zinginezo...lazma ukilifikisha 25m iwe imekutoka. Hivi kuna gari linalotumia maji ya baharini au yote yanatumia mafuta?...ulitaka klugger ya cc 900 kama vitz?...kisha ibebe watu 7 na bado ipasue njia kwa spidi ya 220?
Kumbuka ile ni suv na bado inaadvantage over salon cars kwa kuwa na 4wd.....

Am tired meennnn.
 
We kweli kiazi mbatata yaani Kuagiza kwa 25M na kununua used bongo tena BEH kwa 20M ndo bei ya bure??

kwanza we muongo Kluger 20M unaagiza Jpn na mpaka inaingia barabarani....

Acheni ushamba Wa Magari nyie wakuja coz GARI inaanza Ku depreciate siku ya kwanza unaponunua tambua hilo.
 
Hilo gari ukuiza zaidi ya Mil 12 wallahi nakupa Bajaj yangu buuuuureeeeee
 
Back
Top Bottom