Chukua 4.3m
Ninauza Toyota Kluger V ya 2001 rangi Nyeusi yenye registration ya BEH. Bei ya kuanzia Tzs20 million.
Iko Dar es salaam chuo kikuu cha Dar es salaam. Kuiona na kuongea bei +255 183 263
mil4.3 nitakuuzia mataili
nitumie picha mkuu ila nitakupa 17m mana bajeti yangu ni 18m hyo 1m ni ya mafuta na service mpka kulifikisha kwenye huu mkoa ninao ishi mimi,tafadhali fanya hivyo mkuu wangu.
kwani wewe hiyo budget ya 18m uliyoiweka ilikuwa unanunua kutoka wapi? Na kwanini unapunguza umpe 17m wakati ulishaanda 18m?...omba hati punguzo kistaarabu...hizi sisi huita dharau za rejareja....na nani alikuambia hiyo 18m yako unaweza kupata klugger mpya au hata used toka japan?....
Ninauza Toyota Kluger V ya 2001 rangi Nyeusi yenye registration ya BEH. Bei ya kuanzia Tzs20 million.
Iko Dar es salaam chuo kikuu cha Dar es salaam. Kuiona na kuongea bei +255 183 263
Ninauza Toyota Kluger V ya 2001 rangi Nyeusi yenye registration ya BEH. Bei ya kuanzia Tzs20 million.
Iko Dar es salaam chuo kikuu cha Dar es salaam. Kuiona na kuongea bei +255 183 263
Mil 20 kluger ya 2001 namba BEH?? Mkuu unautani na hela wewe....
Hiyo hela anaagiza GARI Jpn na chenji inabaki....
Angalau ungeuza kwa 9M labda ila kwa 20M utakesha Sana labda umuuzie mshamba kwa bei hiyo.
Weka details za kutosha kama mileage ilizotembea, engine size cc ngapi? In fwd au 2wd...na mengineyo...ukitoka kufanya marketing toka full loaded ili watu wafanye sound decisions sio una-rush kama umekimbizwa na panya road.
Hahahaha...Panya road!!! Gari ni nyeusi, 4WD na 3,000cc!!