Nauza tofali used zipo idadi 200

Habarini za asubuhi, karibuni sana
 
Kwa sasa tofali inch 5 inauzwa 1100/=, inch 6 inauzwa 1300/=, Mimi nauza kwa kuwa ni Used kwa shilling 500/= Tu.
Mjomba huwezi kuuza tofali kwa bei ya hasara kiasi hiki! Pandisha walau mpaka 800 hivi ndiyo uuze. Bei ya tofali imeongezeka. Kama hawataki kizinunua, jengea jiko.
 
Mjomba huwezi kuuza tofali kwa bei ya hasara kiasi hiki! Pandisha walau mpaka 800 hivi ndiyo uuze. Bei ya tofali imeongezeka. Kama hawataki kizinunua, jengea jiko.
Asante sana kwa ushauri wako mkuu.
 
Huwa zinatumikaje
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…