Nauza tofali used zipo idadi 200

Nauza tofali used zipo idadi 200

Habarini za asubuhi, karibuni sana
 
Kwa sasa tofali inch 5 inauzwa 1100/=, inch 6 inauzwa 1300/=, Mimi nauza kwa kuwa ni Used kwa shilling 500/= Tu.
Mjomba huwezi kuuza tofali kwa bei ya hasara kiasi hiki! Pandisha walau mpaka 800 hivi ndiyo uuze. Bei ya tofali imeongezeka. Kama hawataki kizinunua, jengea jiko.
 
Mjomba huwezi kuuza tofali kwa bei ya hasara kiasi hiki! Pandisha walau mpaka 800 hivi ndiyo uuze. Bei ya tofali imeongezeka. Kama hawataki kizinunua, jengea jiko.
Asante sana kwa ushauri wako mkuu.
 
Habari za muda huu, poleni na majukumu kimfaacho mtu chake wanasema waswahili, nauza tofali used, zipo tofali mia mbili, kwa kila tofali moja ntakuuzia kwa shiling mia 5 (500Tsh.), unaweza kujengea au kuzitumia kwa matumizi mengine, Karibu kwa Muhitaji zipo Kinyerezi Makofia Dar es salam simu number 0714739838View attachment 3633722
Huwa zinatumikaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom