Nauza (Till) line za uwakala

Nauza (Till) line za uwakala

maheda0756

Senior Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
107
Reaction score
160
Habari za majukumu
Nina line tatu za M-pesa zote nauza 150,000@.
Ninazo pia line za Tigo pesa mbili zote nauza 190,000@
Nipo Dar es salaam lkn pia kama upo mkonia zitakufikia. Changamkia fursa
PM Ipo wazi kuna punguzo la bei pia.
 
Nahitaj Tigo pesa na M-pesa zote kwa pamoja chukua 200k
 
Tusaidiane ndgu yng vyuma vpo tyt sn...ni mbnu ya kujiongeza ili npambane na hii hali mkuu
Aisee ni kweli Chief ata mm nimesaidiwa na bado nasaidiwa mpk hapa nilipofika. Ngoja nijaribu kuona namna ya kukusaidia
 
Tatizo mahawara zetu tukiwanunulia hizi votu wafanye biashara bado watashindwa tu
 
Tatizo mahawara zetu tukiwanunulia hizi votu wafanye biashara bado watashindwa tu
Siyo wote lkn Chief, mimi kuna dogo langu la kiume lilimaliza form 4 2015 nikamtafutia kijiwe karibu na stend za mabasi ya mikoani na nikampa capital ya 1.5m huwezi amini aisee now dogo anavuta kamisheni kushinda mshahara wangu
 
Capital ya 1.5M inaingiza commission ya kiasi gani kwa kukadiria kwa sehemu kama hiyo ya mzunguko wa watu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji line za m-pesa, tigopesa na airtel money. Mwenye nazo anichek.
 
Back
Top Bottom