Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,406
- 2,413
Simu imetumika miezi miwili tu njoo ukague simu ujiridhishe ndo ulipie,hakuna pini hakuna urembo ukiiona utaipenda mwenyewe,ukikuta ina kasoro nakupa nauli yako ya kukusimbua
Bei ni 120,000
Bei ni 120,000