Nauza Tank la maji Lita 5000 pamoja na stand yake ambayo ni chuma

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,066
2,363
Tank ni Lita 5000 pamoja na stannd yake ambayo ni chuma ndefu kuzidi urefu wa nyumba, bei pamoja ni 1,500,000 kama unahitaji vyote nichek kwa 0713415537
 
ya chuma inayumba otherwise iwe na uzito la sivyo simtank chaliii
 
uko wapi mkuu.NI tank la kampuni gani na chuma ni milimita ngapi
 
Mkuu weka picha maana biashara bila picha inakua nguvu kuievaluate tunabakia kuhisia tu
 
Tank ni Lita 5000 pamoja na stannd yake ambayo ni chuma ndefu kuzidi urefu wa nyumba, bei pamoja ni 1,500,000 kama unahitaji vyote nichek kwa 0713415537
Kwani Dukani Jipya ni shilling ngapi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom