Nauza tangawizi tani 50+

Nauza tangawizi tani 50+

Mwankenja

Member
Joined
Nov 10, 2009
Posts
60
Reaction score
118
Wakuu tangawizi iliyokomaa vizuri ipo Peramiho Songea kwa sasa ila kwa makubaliano inaweza kukufikia popote ulipo nchini Tanzania.Kama kuna mmnunuzi anayehitaji kuanzia tani 5 tuwasiliane PM.
 
Shukrani kwa heads up mkuu,Mbeya sehemu gani hasa maana mi mwenyeji mitaa hiyo.

Sijui wako mitaa gani ila mwezi uliopita nilikwenda sokoni nikatafuta spices zile ambazo ziko packed muuzaji mmoja akaniambia "nina hizi za mbeya kazijaribu" nikashangaa "mbeya" akanipa kopo nikaona kweli ila bahati mbaya sikuchukua ningekupatia address but ukiukizia mbeya huwezi kukosa nadhani ni kiwanda kipya sana mkuu
 
Back
Top Bottom