Suzuki vitara-Escudo iko katika hali nzuri,automatic transmission,petrol engine 1590cc,grey-metallic,127000km.Inatembea mwenye kuihijitaji ani pm bei ni 6.5mil.[/QUOTE]
Hapo kwenye RED, ina maana ni sawa na bei ya 40 ft Container?
Suzuki vitara-Escudo iko katika hali nzuri,automatic transmission,petrol engine 1590cc,grey-metallic,127000km.Inatembea mwenye kuihijitaji ani pm bei ni 6.5mil.[/QUOTE]
Hapo kwenye RED, ina maana ni sawa na bei ya 40 ft Container?
Huo mlinganyo wako kaka haufanani kabisaa, gari na container wapi na wapi? Kama unahitaji container unaweza kununua vitara? na kama unahitaji gari unaweza kununua 40ft container? Au sijakuelewa vizuri?
Kuna Uzi uliwekwa hapa asubuhi ukitangaza 40ft container likiuzwa kwa bei hii hii na baadaye ndo nikaona huu wa Vitara, then mlinganyo ukaanza pale. Anyway kaka, tayari nimemtonya mshikaji wangu mmoja hope akiweza tutakutafuta.Huo mlinganyo wako kaka haufanani kabisaa, gari na container wapi na wapi? Kama unahitaji container unaweza kununua vitara? na kama unahitaji gari unaweza kununua 40ft container? Au sijakuelewa vizuri?
Lamba 5 kesho asubuhiSuzuki vitara-Escudo iko katika hali nzuri,automatic transmission,petrol engine 1590cc,grey-metallic,127000km.Inatembea mwenye kuihijitaji ani pm bei ni 6.5mil.
Sasa kaka hiyo Vitara huwezi kuniondolea hiyo laki 5,kama nilivyokwambia,nimeipenda sana au nitafute gari nyingine tubadilishane ambayo utaipenda?
Kama unazijua Suzuki vizuri ndani ya Bonnet kuna heat protection cover na nyingi huwa hazina kwahiyo kama gari yako unaipenda ni lazima Bonnet yako utaipiga rangi kila baada ya miaka 3 au 4. unless kama gari yako ni nyeupe au non-metallic.kaka 6 unakula au umeshauza, inaonekana km umeirudia rangi, je ni baada ya kugongwa au rangi ilipauka?
si bure wewe ni mchanaga tena wa Kimara maana ndio magari yao na ndiko wanakoishi
Zimefanyaje??Toyota Premio na Toyota Carina (Not D-4 engines and in good condition)
Mkuu hii gari bado ipo au imeshauzwa?Kwa 5 kaka haiendi,nime-upload photos if you are interested nitafute bei ni 6.5 Million
View attachment 49222View attachment 49223View attachment 49224View attachment 49225