Nauza suruali za kadeti

mhh kadeti hzi za kijanja mkuu!nampenda mwanaume anaevaa kadeti!hizi sio za minadani!manguo ya kisukuma yanajulikana unaweza kukaukiwa koo ukiziona
Kwavile umesema "unampenda mwanaume anaevaa kadeti", basi mi nataka nizione, ili nifanye mipango ya kununua[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 


nunua mkuu unipigie pic nione zilivyokutoa! sure napenda kuliko jinzi
 
Kumbe ndio maana kuna mwanaume wa shoka alikutongoza kwa kukudhania kuwa wewe ni jinsia ke,!! Tayari nimeelewa

Tuyaache kama yalivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…