Nauza suruali za kadeti

Nauza suruali za kadeti

Broo, Mimi hata simfahamu huyo aliyekuuzia hizo suruali, shida Ni kwamba unamponda suruali zake halafu wewe unatangaza za kwako is it fair!?
Sijatangaza mkuu na wala mm siuzi suruali, nilichoweka hapo juu ni paragraph ya ulaghai wake aliotuvuta nao nikiwemo mimi.
 
Hukuweza kujua Ni feki kabla ya kuvaa!?
Sikuweza kujua mzee bt baada ya kuvaa mara mbili tu nikapata jibu, zipo ambazo nilinunuaga kimara duka moja hvi mwaka sasa bt mpk leo ziko poa balaa nilipoona za mwana nikasema ebu ngoja nijaribu na hizi loooo
 
Staff jeans
Tsh 23,000
Hii material yake ni ya kuvutika kama kadeti unaweza
Haichuji
20200520_7.jpg
 

Attachments

  • _20200520_6.jpg
    _20200520_6.jpg
    152.6 KB · Views: 8
Watu wengi hua wanapigwa kwenye kadeti sana wakidanganywa kua ni origino..

Kadeti origino kweli bei yake si mchezo!

mkuu,ninazo tatu ni zile OG kabisa nilichukulia elfu 30 mpaka leo zipo powa na nina mbili nilichukua @23000 zina mwaka mzima zipo kama mpya yani,so bei sio tatizo ila ni wewe wakati wa kununua uangalia material vizuri
hata kuna jeans fulani mbili nilinunua @23000 aise nilivaa week moja tu zikaanza kuchanika mapajani lakini ninayo moja nilichukua mwaka 2018 ila mpaka leo ipo imara kabisa nikagundua zile jeans ambazo ni laini ni utopolo
 
Zipo rangi mbalimbali
size 30-40
Tsh 23,000
kwa mawasiliano zaidi whatsApp 0657438581
20200122_10-1-1.jpg
20200621_5.jpg
 

Attachments

  • 20200224_5.jpg
    20200224_5.jpg
    199.5 KB · Views: 8
Weka uhalisia wa suruali zako sio unaenda kukopi picha za watu insta alafu ukiagizwa unaleta taka taka.
Acha uchawi na ujue uchawi sio lazima kuwanga au kuruka na ungo
Hata hivi unavyofanya ni uchawi.
 
Timberland
Tsh 48,000
wakazi wa nakuletea hadi kwako/ulipo
Mikoani natuma kwa uaminifu
Screenshot_2020-09-12-08-52-28~2.jpg
 
hivi, wewe nakushangaa ni chuki au kuna lingine. Sitaki maneno naomba achana na mimi.
Dingilai chukua hilo kama changamoto, jirekenishe usipanic kwa sababu utaharibu kila kitu. Huyu kasema haya hapa, wala usimjibu ila ukae chini uone namna gani utaondoa mapungufu haya aliyosema. Binafsi sijaona kosa kwake, kama nilivyosema usimjibu, ukimjibu hata kama jibu ni zuri utaharibu ndugu yangu.

 
Dingilai chukua hilo kama changamoto, jirekenishe usipanic kwa sababu utaharibu kila kitu. Huyu kasema haya hapa, wala usimjibu ila ukae chini uone namna gani utaondoa mapungufu haya aliyosema. Binafsi sijaona kosa kwake, kama nilivyosema usimjibu, ukimjibu hata kama jibu ni zuri utaharibu ndugu yangu.

Shukrani kamanda!
 
Cadet Ya kuvutika
Tshh23,000
Size 30-40
whatsApp no 0657438581

20200224_5.jpg
 
Cadet (khaki)
size 30-40
Wakazi wa dar nakuletea hadi ulipo
Wakazi wa mikoani natuma kwa uaminifu
20200122_10-1-1.jpg
 
Office jeans/staff jeans
Tsh 23,000
unaweza vaa ofisini, na sehemu nyingine nyingi
WhatsApp no 0657438581
20200520_7.jpg
 

Attachments

  • _20200229_21.jpg
    _20200229_21.jpg
    109.5 KB · Views: 8

Similar Discussions

Back
Top Bottom