The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,444
Shida inayokuja ni kwenye kuzijua mana upigaji ni mwingimkuu,ninazo tatu ni zile OG kabisa nilichukulia elfu 30 mpaka leo zipo powa na nina mbili nilichukua @23000 zina mwaka mzima zipo kama mpya yani,so bei sio tatizo ila ni wewe wakati wa kununua uangalia material vizuri
hata kuna jeans fulani mbili nilinunua @23000 aise nilivaa week moja tu zikaanza kuchanika mapajani lakini ninayo moja nilichukua mwaka 2018 ila mpaka leo ipo imara kabisa nikagundua zile jeans ambazo ni laini ni utopolo