Sasa wewe kiongozi unanipa mashaka na biashara yako na unaonekana haupo serious. Wewe unafanya biashara hutoi namba yako lakini unataka namba ya mteja? Huoni hapo kama kuna tatizo? AU NDIO MAMBO YA KITOMARI?
Kwa picha ya harakaharaka naona kama unataka kuleta mambo ya usiri. Nikushauri kitu kimoja next time ukileta biashara hapa weka maelezo yote ya awali ikiwemo namba ya simu na sio email address.