Nauza sungura(cormecial rabbits) breed aina zote

Kadangkadang

Member
Feb 28, 2017
13
2
Kwa mteja atakayeitaji sungura wa biashara anaweza wasiliana kwa namba izi 0718 04 02 08 bei zangu ni nafuu kuliko kwa wauzaji wengine sungura wapo salama kiafya na uzito unaoitajika kalibun .
 
Napatikana kibaha ndio shamba lilipo bei 25000 ,30000,45000 kuna maelewano kama utaitaji kuchukua zaid ya sungura 100
 
Kwa mteja atakayeitaji sungura wa biashara anaweza wasiliana kwa namba izi 0718 04 02 08 bei zangu ni nafuu kuliko kwa wauzaji wengine sungura wapo salama kiafya na uzito unaoitajika kalibun .
Unaposema commercial rabbits unamaana gani? Wana kipi cha ziada?
 
Back
Top Bottom