Nauza Sony Experia Z imetumika mwezi Mmoja.
Ina internal memory 16 gb
Os Jelly Bean 4.0 upradable to 4.1.2
Water Proof
Unlocked
HD camera ya 13 Mp
Min Sim card
BEI Tsh 600,000
Mawasiliano; 0789776477
View attachment 107281
hv neno unlocked uwa lina maana gani..msaada tafadhali
hahahaaaNakutftia mteja alafu utanipa kumi elfu tu my no 0787459850
chief-mkwawa naomba tupe sifa ya ya hii kitu tafadhali!inaingia line yoyote, haijalockiwa na mtandao wowote