Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
@jibollin mkuu hiyo Sony umeuziwa mtaani au dukani? Je ina dhamana?
Yeah kitu ka hicho afu na kidogo comparison na related smartphones on the marketMkuu Sigma unahitaji Specification za hii simu au?
Ni kubwa sana Mkuu tofauti na mawazo yako. Ni nyembamba bt pana kiaina than Iohone 4. Kitu kinachoifanya kuwa juu ni hiyo ya kuwa Waterproof kwamba hata kwenye Mvua huna haja ya kuificha unaweza itumia.
Na hata kama upo kwenye swimming pool unaogelea u can take videos and pictures ukiwa ndani ya maji.
Kwa 13mp sidhani kama kuna smartphone ambayo ina camera ya aina hiyo na pia imepigwa support ya Bravia so screen yake ni balaa kama unaangalia video unaweza than upo kwenye sony bravia.
Kingine ni kwamba unaweza unganisha kwa Tv na kisha kuangalia kila kitu unachofanya kwenye simu kwa Tv yako.
Hapa Sony walijitahidi sana kwa kutoa hii kitu japo original os yake ni ya kizamano so.unaweza upgrade ww mwenyewe bt hii iba 4.0.