INAUZWA Nauza sofa leather 3:2:1

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Oct 8, 2018
366
140
Habari Nina sofa naziuza LA MTU 1, 2 ,3 nauza zote kwa laki 600,000 maongezi yapo njoo na usafiri wako ubebe nipo viwege dar es salaam, ili kufika viwege kwa mtu yoyote yule anae tokea kokote kule anatakiwa apitia nyerere load na anyoshe moja kwa moja hadi Gongo la Mboto.

Hapo kuna kituo cha magari ya viwege safari inaendelea baada ya kutoka gongo la mboto kuna kituo kinaitwa mwisho wa lami unapita kwa mbele kuna kituo kinaitwa pugu secondary hapo hapo unaingia upande wa kushoto unanyosha moja kwa moja utapia kituo cha majoe na kinacho fata ni viwege utakuwa umeshafika sio mbali KAMA BADO UPAJUI NJOO HADI GONGO LA MBOTO MIMI NITAKUJA HAPO TUTAENDA WOTE VIWEGE 0677423349 na kama kuna mtu anaitaji sofa moja pia naomba tuwasiliane Asante sana

IMG-20200731-WA0006-scale-2.jpg
Polish_20200730_202559538-scale-2.jpg
Polish_20200731_184916055-scale-2.jpg
 
1) Hili neno "LEITHER kwa kua ni la kizungu ungetafuta kwanza jinsi linavyoandikwa ndo ulipost
2) Sio kila mtu anajua VIWEGE ilipo
Kwani sinimetoa namba za simu tuna elekezana viwege unapita majoe kisha ndio viwege ndio mana nimetoa namba za simu
 
Kwani sinimetoa namba za simu tuna elekezana viwege unapita majoe kisha ndio viwege ndio mana nimetoa namba za simu
Mpaka mtu aje aelewe kua Viwege ni njia ya Majohe tayar ashapiga simu na kupoteza Muda + Salio.

Wakati kupitia hapa tu tayari atajua kua njia ya huko ni muafaka au sio muafaka kwake hivyo apige au asipige
 
Atue namba za simu nitampigia kama shida ni salio
 
Mpaka mtu aje aelewe kua Viwege ni njia ya Majohe tayar ashapiga simu na kupoteza Muda + Salio.

Wakati kupitia hapa tu tayari atajua kua njia ya huko ni muafaka au sio muafaka kwake hivyo apige au asipige
Ngoja nielekeze na bado nitambiwa apajulikani
 
Back
Top Bottom