Nauza Smartphone hizi

Nauza Smartphone hizi

whitedoug3

Senior Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
108
Reaction score
26
NOKIA LUMIA 930 - 450 IPHONE 5 - 600 SAMSUNG NOTE 3 - 650 HTC M 7--450 SAMSUNG NOTE 3--650.

Check Me kwa Number Hii: Call, Text na WhatsApp 0714381053..

Nakutumia Picha WhatsApp, Simu Zipo Kwenye Hali Nzuri.. Please Tuwe Serious na Biashara...
 
Mkuu acha uvivu badika tupicha watu tuone kama twaweza jipanga hata kwenye lumia hyo fanya hvo mana bila picha nipo humu360 weka pcha tuone
 
Fugeee wewe ni nomaaa ... Simu zote unataka kununua ... Kila matangazo ya simu unatoa ofa za ajabu !!! Kila la heri !!!
 
Kuna tangazo la HTC nimekuona !!! Huku unataka Nokia , Mara unataka viwa !!! Ni shida sana
 
Kuna tangazo la HTC nimekuona !!! Huku unataka Nokia , Mara unataka viwa !!! Ni shida sana

Ha ha ha ha yaani nimecheka kwa ngivu Sanaa

mkuu kuna watu jukwaa hilo ni nyumbani kwao so kuwa mpole....
 
Ha ha ha ha yaani nimecheka kwa ngivu Sanaa

mkuu kuna watu jukwaa hilo ni nyumbani kwao so kuwa mpole....

afadhali ya huyu fugee ni simu tu.. kuna mmoja yy alikuwa kila kitu anakitaka iwe gari, trekta, nyumba, kiwanja n.k kuna vituko sana.
 
afadhali ya huyu fugee ni simu tu.. kuna mmoja yy alikuwa kila kitu anakitaka iwe gari, trekta, nyumba, kiwanja n.k kuna vituko sana.

umeacha pikipiki mkuuu... hehehe umeniacha hoi sana mkuu... mtu atataka hadi fridge, meza, mtu anauzaa saloon ya kike lazima apite hapo... sheedah sanaa
 
Kama ni za uwiz mlitaka ninunue. Mmeolewa?
 
Wakuu kweli nahtaji cm akubali ofa yangu kama sijanunua mbona mnaniharibia au kisa sijanunua zenu mkubali
 
afadhali ya huyu fugee ni simu tu.. kuna mmoja yy alikuwa kila kitu anakitaka iwe gari, trekta, nyumba, kiwanja n.k kuna vituko sana.

Ha ha ha ha sijui yule jamaa yuko wapi siku hiz....
 
Kuna tangazo la HTC nimekuona !!! Huku unataka Nokia , Mara unataka viwa !!! Ni shida sana
  • Kwenye hili jukwaa watu wananunua na kuuza
  • Anaweza kununua hapa hapa na akauzia hapa hapa au kwingine kwa faida kidogo
  • Ndivyo nilivyomuelewa jamaa, Je unamfahamu, (Aione🙂 hekimatele
 
  • Kwenye hili jukwaa watu wananunua na kuuza
  • Anaweza kununua hapa hapa na akauzia hapa hapa au kwingine kwa faida kidogo
  • Ndivyo nilivyomuelewa jamaa, Je unamfahamu, (Aione🙂 hekimatele

Mwalimu kulikoni tena?
Mi na wewe Mwalimu tunafanya biashara bhana sijawahi kukuletea longo longo.
Hawa jamaa wakiona tunacomment humu kuulizia bidhaa wanadhani tunaleta utani.
Siku hizi mi nimeacha kucomment kwa sana. Kama tangazo lako liko makini na bidhaa inaeleweka nakuukia hewani tunamaliza biashara fasta.
Tatizo wengine wanaleta biashara tangazo halijakamilika na ukiwauliza picha visingizio kibao, mara mtandao uko chini mara picha zinagoma ku upload mara...... yaani full vibweka.
Kuna matangazo humu yanachosha sana watu.
Na nyie mnaoweka matangazo humu acheni makelele mkiulizwa maswali. Wengine hamjuagi tu ila mkipigiwa simu hamjui mnafanyaga biashara na nani. Au unataka nije kusema hapa hekimatele tayari nshanunua?
Kimya kimya tu mambo yanaenda.
We ukiulizwa maswali kuhusu bidhaa yako we weka details za kutosha.
Au mnakuwa mmeiba ndo maana mnaogopa kuweka mambo hadharani?
manake haya mambo yapo sana unakuta mtu kaiba simu kwa shemeji yake anasema anaiuza akiulizwa picha anazingua akitafutwa kwa simu full visingizio kumbe shemeji kasham bamba kachukua chake.
Fanya business kausha endelea na mambo mengine.
 
Last edited by a moderator:
HTC Desire 816 for sale
Brand new, Original, Boxed with full accessories
13MP Back Camera and 5MP Front Camera
8GB internal Storage
Single SIM Card
Black and Pink Colour
Price 420,000
Contact 0785300134 0r 0718942311
 
Brand new HTC one m7 for sale
Original, Boxed with full accessories
1.7 GHz quad-core processor
32GB Internal Storage and 2GB RAM
4.0MP Back Camera (ultra pixel technology ) and 2.1 MP Front Camera
1 year warranty
There are enough pieces
Price 440,000
 
Attachments

  • 1436813930164.jpg
    1436813930164.jpg
    59 KB · Views: 75
Back
Top Bottom