Nauza simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza simu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mandela mkono, Mar 28, 2012.

 1. m

  mandela mkono Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauza samsung s5233a ni orginal pia ni touch screen kama huifaham unaweza kuicheki kupitia google bei ni tsh110,000. kwa halie tayari tuwasiliane kupitia 0754677877 Mie niko mwanza.
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ina scratches? Betri inakaa muda gani? Kama ina complications zozote notify...
  Kula 80,000 mzazi
   
 3. b

  blackberrydealers Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama unajipangia bei na conditions zako kanunue dukani
   
 4. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  We ndio muuzaji nini bingwa!!!!!!.. Hata dukani there'z bargaining.
  Afterall kitu kikishatumika ni vzr kujua kipo ktk hali gani..
   
 5. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,024
  Likes Received: 2,646
  Trophy Points: 280
  Yes kuna ulazima wa kujua condition au kama anaona hiyo yako ni ndogo mie nina 85,000
   
 6. m

  mandela mkono Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii cm inahali nzuri kabisa na bei yake ya mwisho ni 95000 Tu.
   
 7. m

  mandela mkono Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii cm inahali nzuri kabisa na bei yake ya mwisho ni 95000 Tu.
   
 8. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  mkuu naomba utoe conditions zake ili tujue kabisa tutegemee nini
   
 9. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  When you wholeheartedly adopt a "with all your heart" attitude and go out with the positive principle, you can do incredible things."
  Nauza simu aina ya HTC Desire 4G,imetumika ingawa ipo ktk hali nzuri sana.Bei ni Tsh 600,000/.
  Kama unahitaji, PM kwangu.
  Mwanzisha mada samahani kwa kuingilia uzi wako.
   
 10. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,434
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  NAHITAJI THAT SAMSUNG.
  Naku PM number
   
 11. a

  andy mchokozi Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we mtu anauza kitu na ameshatangaza mpaka bei ya mwisho sh. 95 elfu.
  wewe umeshindwa nini kubandika tangazo lako?au ngoja nikusaidie kuli copy na kuli paste mbele hapo, nipe details zake mkuu
   
 12. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mkuu heshima mbele.
  Naomba google utaiona , nashindwa kuelezea kila kitu hapa
   
Loading...