muachage ulevi, mtu anashida ya kulipa kodi unaleta mzahamtafute mdogo wako mpe kama umeichoka, wacha ubahili
Sasa wadau watakupataje mkuu.Jamani nnashida kweli na hela,naiuza simu yangu Samsung S4 used 8months kwa laki 2 tu nilipe kodi wiki hii,ila picha nashindwa weka,nikibonyeza hapa paku upload haileti option yoyote.simu IPO mbeya now
Hiyo picha ipo wapi?
Kiasi ngapi jeMe nipo mbeya na kuna washikaji zangu kibao wana taka io simu lakini awwawezi kulipia io laki 2
Sent using Jamii Forums mobile app
S4 n 3g o 4g?,16gb o 32gb?Jamani nnashida kweli na hela,naiuza simu yangu Samsung S4 used 8months kwa laki 2 tu nilipe kodi wiki hii,ila picha nashindwa weka,nikibonyeza hapa paku upload haileti option yoyote.simu IPO mbeya now