Nauza simu iphone 6s 64 GB kwa 650,000/=

Nauza simu iphone 6s 64 GB kwa 650,000/=

ubelito

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
170
Reaction score
262
Kama kichwa kinavyosema hapo hali ngumu ya maisha ndo inanifanya niuze hii simu

Simu inakaa na chaji vizuri tu na bado ipo katika hali nzuri kabisa
Napatikana mwanza
Utanichek PM kwa mawasiliano zaidi
Boom limekata kweli chuo nyosso
IMG_4721.JPG
IMG_4722.JPG
IMG_4725.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama ukiongeza 20000 kuna jamaa angu yupo dar yy ana iphone 6 anazo kuni anauza kwa iyo bei ni iphone 6 16 gb


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom